KAKA AJUTIA KUIPOTEZEA MANCHESTER CITY MWAKA 2009
Mchezaji Ricardo Izecson dos Santos Leite almarufu Kaka mwanasoka bora wa dunia 2007. Amesema anajutia maamuzi ya kuikataa klabu ya Manchester City msimu wa mwaka 2008-2009 mchezji huyo ambae aliamua kwenda Real Madrid kwa ada ya Euro 68.5.

Comments
Post a Comment