Je zama za Radamel Garcia Falcao zimefika ukingoni? baada ya Jana kucheza mechi kati ya Man utd dhidi ya Totenham na kushindwa kufunga goli nini maoni yako kuhusu Radamel Falcao ????? Je Man Utd watakubali kumsainisha mkataba mwishoni mwa msimu au arudi zake Monacco?