Posts

Showing posts from 2015

CLUB BRUGES YAMENYANA NA MAN UNITED.........

Image
Timu ya Manchester United yatarajia kupambana na Timu ya Club Bruges mechi itakayoanza majira ya saa 9:45 usiku kwa saa za Afrika mashariki  Hapa ni timu ya Man united ikijifua kwa mchezo wa badae usiku....

ARSENAL NA TOTENHAM HOTSPURS KUKUTANA KOMBE LA LIGI.......

Image
Timu ya TotenhamHotspurs itawakaribisha Arsenal the Gunners katika raundi ya 3 katika kombe la ligi(Capital Cup) 

LOWASSA NDANI YA DALADALA JIJINI DAR LEO

Image
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar es salaam leo, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza eneo hilo ili kujionea hali halishi ya biashara ndogo ndogo. Mh. Lowassa aliianza ziara yake eneo hilo la Gongo la Mboto na baadae alipanda daladala mpaka Pugu Kajiungeni, jijini Dar. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimsikiliza Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar es salaam leo.

PEDRO AENDA KUAGA KWAO BARCELONA

Image
Kiungo chelsea  Pedro  Eliezer Rodríguez hakuacha kwenda kwao Nou camp kuwaaga wachezaji wenzake kama Gerard Pique, Sergio Busquet na Lionel Messi pamoja na wachezaj wengine Pedro ama pederito amedumu na Barcelona kwa Miaka 1o na kufunga magoli 99 katika michezo yote aliyokaaa Barcelona  

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA MICHEZO NA BURUDANI....

Kwa habari kem,kem za michezo mbalimbali teembelea www.jameskikwa@blogspot.com a.k.a Jimmy Jam Nashukuru kwa ushirikiano wako............

MPAMBANO KATI YA ARSENAL NA LIVERPOOL LEO HII..............

Image
    Je nani ataibuka kidedea leo kati ya Arsenal a.k.a The Gunners dhidi ya Liverpool a.k.a The Reds majogoo wa jiji pale Uwanja wa Emirates mida ya saa 9:45 usiku wa leo usikose

Real Madrid chupu,chupu kutolewa na Shackle 04

Image
Mabingwa watetezi jana ilikuwa wakione cha mtema ma kuni  baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-3 toka kwa shackle 04 

Zama za Radamel Falcao zimefikia ukingoni?

Image
Je zama za Radamel Garcia Falcao zimefika ukingoni? baada ya Jana kucheza mechi kati ya Man utd  dhidi ya Totenham  na kushindwa kufunga goli nini maoni yako kuhusu Radamel Falcao ????? Je Man Utd watakubali kumsainisha mkataba mwishoni mwa msimu au arudi zake Monacco?