Posts

Showing posts from October, 2014

ASANTE KWA SUPPORT YAKO......

Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wewe mdau ulie sapport kutembelea blog ya Jimmy Jam naamini kwa kutembelea kwako utakuwa umejifunza kitu na nipende kuchukua nafas hii kukushukuru  kwa ushirikiano wako  wako mtiifu  JAMES KIKWA. 

MAN UTD MAZOEZINI KUJIANDAA NA MECHI DHIDI YA WEST BROMWICH ALBION

Image

JE ANGEL DI MARIA AMEKUWA MSAADA KWA KLABU YA MANCHESTER UNITED?....

Image
Winga machachari wa klabu ya Manchester United Angel Di Maria  amekuwa msaada kwa klabu ya Manchester United kutokana na takwimu zinazojionesha hapo juu                                                         CHANZO NA GOAL.COM

MAONI YAKOJUU YA PICHA HII HAPA.

Image
 Maoni yako kuhusu picha  hiyo hapo juuuu.

BENIN YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 4-1 KUTOKA KWA TAIFA STARS.

Image
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij (kulia) akisalimiana na kocha wa Benin, Didier Olle Nicolle wakati kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Francis Dande) Kikosi cha Taifa Stars kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya  pambano lao na Benin. Mrisho Ngasa akiwatoka wachezaji wa Benin. Mshambuliaji wa timu ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mrisho Ngasa (kulia) akichuana na beki wa Benin, Adeoti Jordan katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwsenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Stars ilishinda 4-1.    Beki wa Stars, Shomari Kapombe akimtoka mchezaji wa Benin, Djigla David.

WANAAMINI WATARITHI MIKOBA YAO

Image
Je watoto hawa wataweza kufikia viwango vya wazazi wao.....

ANDER HERRERA ANAAMINI MAN UTD WANA MASTARAIKA BORA ZAIDI DUNIANI....

Image

MICHAEL CARRICK ANAWEZA KUCHEZA DHIDI YA WEST BROMWICH ALBION

Image

KATI YA WACHEZAJI HAWA NANI AMEKUWA MSAADA KWA KLABU YAKE...

Image
Wakati ligi kuu ya England ikizidi kupamba Moto je ni mchezaji yupi kati ya hao hapo juu amekuwa msaaada kwa klabu yake.

RADAMEL FALCAO AWASHUKURU MAN UNITED KWA KUMUAMINI

Image
Radamel Falcao amewashukuru Manchester United kwa kumuamini baada ya kupona majeraha ya goti yaliyomfanya akose  kombe la Dunia mwaka huuu.Hivyo anaamini atdumu zaidi  kwa jezi za Man Utd chanzo na  DAILY MAIL FOOTBAL

MESUT OZIL MAJANGA

Image
Kiungo mshambuliaji Mesut Ozil atakuwa nje kwa muda wa miezi mitatu taarifa na Daily mail footbal

USAJILI WA JUAN MATA ULIMFUNGULIA SHINJI KAGAWA MLANGO WA KUTOKEA

Image
Kocha  mstaafu wa Man U Sir Alex Ferguson amesema usajili wa Juan Mata ulisababisha Kiungo mchezeshaji Shinji Kagawa asiwe na nafas katika kikosi cha Manchester United hivyo kufanya. Shinji aamue kurudi kwenye klabu yake ya zamani ya Borusia Dortmund 

HAYA NI MAMBO 10 YANAYOHUSU MAISHA YETU AMBAYO NI YA KWELI LAKINI TUNAYAPOTEZEA

Image
Kuna masomo magumu ya Maisha ambayo tunajifunza utotoni halafu yanaanza kutoweka katika mawazo yetu pale tunapoendelea kukua. Kushindwa kwetu kujua haya inabakia ni agenda ya kitaaluma zaidi. Kama binadamu tunapenda mawazo ambayo yanaingia akilini mwetu tu na wakati mwingine kukataa vitu ambavyo havikwepeki. Hapa kuna mambo kumi yenye ukweli kwako na yatatokea au yapo kwako ambayo hutoweza kuyakwepa. 1. Unatakiwa kujua kwamba Utakufa Unahitaji kutambua kuwa una maisha ambayo yatakoma kwa muda fulani. Hivyo kutusaidia kufanya yaliyo ya msingi na kusahau vitu ambavyo si vya msingi. Vile vile inatusaidia kufanya maamuzi kwa kina na kujua madhara ya maamuzi hayo kila siku. Swali la kujiuliza je nitafanya nini endapo nina miaka mitano tu ya ya kuishi? 2. Kila Kitu kina Mwisho wake Mara nyingi tunaendelea kutafuta furaha au maisha mazuri bila kuwa na kiasi au kuridhika tukifikiri hakuna mwisho. Maisha yanaendelea marafiki zetu tuliokuwa nao wakati wadogo wametoweka au kuga...

DEREVA TAXI AJIPIGA SELFIE NA LUIS SUAREZ SAUDI ARABIA.

Image
Mshambuliaji machachari wa Barcelona Luis Suarez amejikuta akipigwa picha na dereva taxi wa saudi Arabia

ROBERTO DI MATEO AWA KOCHA WA SHACKLE 04.

Image

KOCHA WA WATTFORD ATIMULIWA NDANI YA SIKU 8 TU... WENGINE MIEZI 8 NA MWINGINE NDANI YA SIKU 27

Image

RADAMEL FALCAO ATAKA KUBAKI MIAKA MINGI MANCHESTER UNITED.

Image
Mchezaji radamel falcao amesema anatamani kubaki miaka mingi katika klabu ya Manchester united  mshambuliaji huyo ambae anatokea kwenye klabu ya Monaco anataka usajili wa moja kwa moja kutoka klabu ya Monaco. Manchester United itabidi watoe Euro 43.5 ili kupata huduma ya mshambuliaji juyo katika majira ya joto msimu wa 2015-16

CRISTIANO AISAMBARATISHA ATHLETICO BILBAO APIGA HAT-TRIK

Image

WENGEER NA MOURINHO ALMANUSRA WAPASUANE KWEMYE MTANANGE WA JANA.

Image

RADAMEL FALCAO NA ANGEL DI MARIA WAISAMBARATISHA EVERTON

Image

BRENDAN RODGERS ANAAMINI RAHEM STERLING HATAJIUNGA NA REAL MADRID

Image

MANCHESTER UNITED WAKIJIFUA DHIDI YA EVERTON.

Image

ANGEL DI MARIA ACHAGULIWA KUWA MCHEZAJI BORA WA MANCHESTER UNITED MWEZI SEPTEMBA

Image

CESC FABREGAS KUCHEZA DHIDI YA ARSENAL HIYO NJUMAPILI MAONI YAKO

Image
Captain wa zamani wa Arsenal a.k.a washika bunduki cesc fabregas atacheza dhidi ya timu yake ya zamani Arsenal hiyo jumapili je maoni yako nan ataibuka na ushindi.....

MASHABIKI WAMUOMBA CRISTIANO RONALDO ARUDI MANCHESTER UNITED

Image